*MARADHI*

By Bundi Dennis Kiambi Yalikuwa yamenitesa hadi ya kuteseka. Nikawa mnyonge, nikachekwa, sikula, sikulala, yakanichoma moyo na kuunguza. Nikajionea haya, nikakosa raha. Maisha yakawa hayana maana, nikawaza hadi ya kuwaza, nikawa nimefika mwisho wa fikra. Nikalia machozi yakesha, kutwa nikakosa utulivu, kucha nikawa sina usingizi. Nikaijutia nafsi yangu, nikajichukia kisha nikalaani, nikajilaani mwenyewe kwa kuwaContinue reading “*MARADHI*”

IS THERE FUTURE FOR LIFE?

​ Humans are the greatest threat to life on earth,it has always been said. Through our brilliance,inventiveness, cleverness and in the abilities that are at our disposal we top the list of the greatest threat to life on earth.  We keep destroying; wars,environmental crisis, invasion to animals habitats,laboratory made infections. We think,eat,sleep and wake upContinue reading “IS THERE FUTURE FOR LIFE?”